Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na walinzi wa jadi (Sungusungu) kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono walinzi wa jadi (Sungusungu) kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora waliokuwa wakipita mbele ya jukwaa kuu katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.

Social Plugin