Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SIWEZI KUSAHAU SHEMEJI ALIVYONIINGIZA MATATIZONI


Kamwe siwezi kusahau miaka kama sita iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamni kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la kweli na wala sijawahi hata kuwa nazo hilo.

Basi nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo ngumu kuwahi kutokea.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com