Matukio katika picha wakati wa kuwasili kwa Mwili wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, ukiwasili katika Viwanja vya Cleopa David Msuya, katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro leo Mei 12, 2025.
Social Plugin