Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MWANAJESHI AANGUA KILIO BAADA YA MKEWE KUMPIGA TUKIO ZITO!


Ilikuwa ni Jumamosi ya huzuni kwa Mwanajeshi wa KDF baada ya kufika nyumbani kwake na kuangua kilio baada ya kupokea habari za kusikitisha za jinsi ambavyo mkewe alitumia vibaya fedha zake ambazo alikuwa akimtumia.

Kwa miaka mitatu akiwa katika uwanja wa vita, Mwanajeshi huyo alikuwa akimtumia mkewe mshahara wake wote. Hata hivyo, mkewe alighushi taarifa za kifo chake na kuamua kuuza mali zake zote ili kuolewa na mmoja wa matajiri wakubwa mjini Kisii.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com