Waandishi wa habari kutoka kila pembe ya Tanzania leo Mei 5,2025 wamekutana katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam kwa tukio kubwa na la kihistoria – Samia Kalamu Awards 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ndiyo mgeni rasmi katika hafla hii.
FUATILIA MATANGAZO LIVE HAPA
Social Plugin