MASAUNI AUNGANA NA UJUMBE WA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MAONESHO YA DUNIA YA EXPO 2025 OSAKA JAPAN
Sunday, May 25, 2025
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya Dunia ya EXPO 2025 Osaka Japan
ambapo leo Mei 25,2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania(Tanzania National Day)
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin