
Baadae mwanaume akabeba mabegi yake akaondoka nyumbani wiki mbili bila ya salamu wala simu na mimi nikakaa kimya na wanangu wazee walikuja na tukawekwa kikao mwanaume akakiri makosa yake na kuomba msamaha akarudi nyumbani.
Maisha yakaendelea, basi kuna siku nyingine nachukuwa nguo za mume wangu nikafue nakutana na simu tena ambayo sijui nikaiwasha nakuta tena yale yale.
Nikasema hapana, nikaivunja vunja vipande nikarudisha humo halafu nikakaa kimya na yeye alipo kuja akachukuwa akaenda kutupa akakaa kimya kama wiki mbili, humo ndani ni salamu tu.
Basi wiki ya tatu usiku nasikia mtu ananishika anataka mambo na mimi nikagoma kila akinishika na mtoa mkono basi akamka akaanza kuongea mara mimi korofi na mimi nikamwambia si una wanawake zako nenda wakupe.
Akaniambia ukome kushika simu yangu utakuja kukuta hayo madogo, basi mimi nikalala zangu asubuhi palivyokucha nakuta katuma sms ooh mke wangu nisamehe nilikujibu vibaya ooh nakupenda mambo mengi ni nikapotezea tu.
Usiku akarudi kanisalimia vizuri na mimi nikajibu akaingia chumbani, mimi nikasema niende nikamlaze mtoto chumbani kwake niende kajibebishe naingia chumbani kwa watoto natafuta kiberiti nichome dawa ya mbu mmmh nakutana na simu kiswaswadu kimefichwa.
Nawasha nakuta sms kibao za mapenzi kumbe siku hiyo hiyo kachongesha laini nyingine kaja kuficha kwa watoto, mimi niliangalia tu nikaacha hapo hapo na kusema huyo lazima sasa nimkomeshe.
Hiyo ni baada ya kupata habari kuwa Kiwanga Doctors anajua kumtuliza mume ndani ya ndoa. Nikasema ngoja nikamtulize huyo mwanaume aache kuficha visimu ndani ya nyumba.
Kufika kwa Kiwanga Doctors huko Migori, Kenya akanifanyia uchawi wa mapenzi (love spell), yaani tangu siku hiyo akawa anawahi kurudi nyumbani na michepuko hana na tangu wakati huo sijakuta kaficha simu sehemu.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao.
Social Plugin