MATUKIO KATIKA PICHA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU BALOZI NCHIMBI NCHINI ETHIOPIA
Friday, January 31, 2025
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokelewa na Mhe. Dkt. Girma Amente, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Prosperity Party (PP), chama tawala cha Ethiopia na pia Waziri wa Kilimo wa Serikali ya nchi hiyo, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole. Balozi Nchimbi amewasili nchini Ethiopia kwa ajili ya ziara ya kikazi, kufuatia mwaliko wa PP.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin