Video : MSANII MAGAMBO MACHIMU AWAVUNJA MBAVU WADAU WA MADINI... JAMAA NOMA SANA!!
Tuesday, August 20, 2024
Msanii Magambo Machimu akitoa burudani wakati Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde mjini Kahama Jumatatu Agosti 19,2024 alipokabidhiwa ripoti ya Benki ya CRDB katika utekelezaji wa utoaji huduma za fedha kwa wachimbaji wadogo na wa kati kutokana na maelekezo aliyoyatoa mwaka 2023 alipokutana na Wachimbaji wa madini, viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya CRDB na wadau mbalimbali wa sekta ya madini.
Tazama Video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin