RC MTAKA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA ONE ACRE FUND

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ametembelea banda la kampuni ya One Acre Fund linalojihusisha na uuzaji wa pembejeo na kilimo cha miti katika maonesho ya wakulima Nyanda za Juu Kusini nane nane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya, ambapo Meneja wa Mkakati wa Bidhaa na Masoko kutoka kampuni hiyo, Eric Ballegu amesema kuna muamko mkubwa wa wannachi kupima udogo ili kuleta matokeo kwenye kilimo. Picha Na Elizabeth John,  MBEYA.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post