DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI



Na Mwandishi wetu.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichohusu Kujadili Taarifa ya Maendeleo ya Utekelezaji wa Awamu ya Tatu na ya Mwisho ya Sensa ya Watu na Makazi  ya Mwaka 2022. 

Taarifa hii ni ya kipindi cha Desemba, 2023 hadi Mei, 2024. Kikao hicho kilifanyika katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Interational Covention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Juni, 2024

Dkt. Albina Chuwa, Mtendaji Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) akiwa kwenye kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.

Baadhi ya washiriki wa kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post