DAWASA YASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KITAIFA DODOMAMamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA ni miongoni mwa washiriki wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani inayofanyika tarehe 1- 5 Juni, 2024. Mkoani Dodoma.

Wiki ya Mazingira inaadhimishwa katika viwanja vya Jakaya Kikwete, na banda la DAWASA linapatikana katika banda la Wizara ya Maji na Taasisi zake.

Kauli Mbiu ni Urejeshwaji wa ardhi iliyoharibika, na ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukameDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post