MR. MANGURUWE AIBUA SHANGWE KUBWA KWA AKINA MAMA WAUZA MATUNDA ARUSHA!


Mr. Manguruwe akinunua matunda ya akina mama Arusha
Mr. Manguruwe ambaye ni mwanzilishi wa mradi mkubwa wa ufugaji wa nguruwe Mkoani Dodoma amefanya jambo la kiutofauti katika mtaa wa Sekei Mkoani Arusha ambapo wakina Mama wote waliokuwa wanatembeza bidhaa kichwani wamejikuta wakirejea nyumbani baada ya Mfugaji huyo kununua bidhaa zao zote (ndizi na maparachichi) na kuwagawia bure watu wengine.

Wafanyabiashara hao wameonesha kufurahia jambo hilo ambapo wamemsifu na kumpongeza Mr. Manguruwe huku wakisema hiyo ni zaidi ya Sadaka.
@malundeblog

Mr Manguruwe aibua shangwe kwa akina mama wauza matunda Arusha! Anunua matunda yote!

♬ original sound - Malunde

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post