RPC MAGOMI AKABIDHI IFTAR KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KISHAPU, WASHUKURU KWA SADAKA WAAHIDI KUENDELEA KUMUOMBEA



Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akiwa na askari wa jeshi hilo wakati wakukabidhi Iftar kwa waumini wa dini ya kiislam katika msikiti wa Mayanji Kata ya Ukenyenge wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga.


Na Mwandishi wetu _ Malunde 1 Blog Shinyanga

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi amekabidhi Iftar kwa waumini wa dini ya kiislamu katika msikiti wa Mayanji Kata ya Ukenyenge Halmasahuri ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya sadaka yake kwa waumini wa dini hiyo waliofunga mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan

Kamanda Magomi amekabidhi Iftar hiyo leo Aprili 6,2024 alipo tembelea katika Msikiti wa Mayanji kwa lengo la kutoa sadaka yake kwa waumini wa dini ya kiislamu walio funga katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Aidha Kamanda Magomi ametumia nafasi hiyo kuwatakia Idd njema Waislam wote waliofunga katika wilaya ya Kishapu na mkoa wa Shinyanga kwa ujumla huku akiwasihi kusherekea kwa Amani na utulivu wa kati wa sikukuu za idd na kueleza kuwa jeshi la polisi limejipanga kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha sikukuu ya Idd ili waumini waweze kusherehekea sikukuu vizuri.

Pia Kamanda Magomi amekabidhi Trip 3 za Kokoto zenye thamani ya Zaidi ya Shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Mayanji pamoja na tofali elfu moja kwa ajili ya ujenzi wa jiko katika Shule ya Msingi Mayanji iliyopo katika kijiji cha mayanji kata ya Ukenyenge halmashauri ya Wilaya ya Kisgapu mkoani Shinyanga.

Kwa upande wake Shekhe Othuman Ndamo ambaye ni mwenyekiti wa msikiti wa Mayanji akizungumza kwa niaba ya waumini wa Msikiti amemshukuru Kamanda Magomi kwa kuguswa na kutoa sadaka hiyo na kuahidi kumuombea katika utendaji kazi wake wakuwatumikia wananchi kwa kuimalisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akitoa elimu kwa wananchi wa kijiji cha Mayanji juu ya umuhimu wa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu kwenye maeneo yao pamoja na kutoa onyo juu ya vitendo vya kujichukulia sheria mkononi.
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akitembelea jengo la zahanati na kutoa mchango wa Shilingi laki Tano na elfu Arobaini kwa mwenyekiti wa kijiji.
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akitoa elimu kwa wananchi wa kijiji cha Mayanji juu ya umuhimu wa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu kwenye maeneo yao pamoja na kutoa onyo juu ya vitendo vya kujichukulia sheria mkononi
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akitoa elimu kwa wananchi wa kijiji cha Mayanji juu ya umuhimu wa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu kwenye maeneo yao pamoja na kutoa onyo juu ya vitendo vya kujichukulia sheria mkononi.
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akitoa elimu kwa wananchi wa kijiji cha Mayanji juu ya umuhimu wa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu kwenye maeneo yao pamoja na kutoa onyo juu ya vitendo vya kujichukulia sheria mkononi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post