LORI LA MAFUTA LAPINDUKA KAGONGWA

Gari la mafuta limepinduka katika eneo la Kagongwa wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.

Ajali hiyo imetokea leo Jumapili  Aprili 2024 ambapo lori hilo limepinduka karibu na mashine za mpunga Kagongwa.

Askari polisi wamefanikiwa kuzuia wananchi kuiba mafuta na Jeshi la zima moto na uokoaji limefika eneo la tukio.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post