JOSEPHINE MATIRO AONGOZA MJADALA KATIKA KIKAO CHA WADAU TEMESA SHINYANGA

Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Dedan Rutazika akikagua vifaa vya kisasa vinavyotumiwa na Temesa leo tarehe 14 Machi 2024 wakati wa kikao cha wadau wa TEMESA Mkoa wa Shinyanga kilichofanyika katika ukumbi wa Whiteshi Paradise Hoteli Mjini Shinyanga.

Amewataka wadau kujitahidi kulipia huduma wanazozipata kwa wakati ili TEMESA iweze kutoa huduma endelevu. Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Dedan Rutazika akizungumza na wadau wa Temesa
Mkurugenzi wa Huduma Saidizi Josephine Matiro akizungumza kwenye kikao cha wadau wa TEMESA Mkoa wa Shinyanga kilichofanyika leo tarehe 14 Machi 2024.
Mabalozi wa Temesa mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye picha ya pamoja katika kikao cha wadau wa Temesa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments