MATUKIO MKUTANO WA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI WA TANZANIA

 


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwasili na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024 ili kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza maelezo ya utekelezaji wa Ofisi ya kutoka kwa Afisa Sheria kutoka RITA Bw. Joseph Mwakatoba alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu  ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimzikiliza Bi. Pendo Makonda Mwanasheria kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakati alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu  ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Felisha wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mahakama Profesa Olisante Ole Gabriel alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania. Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizindua Miongozo Saba ya Kisheria wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu  ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania wakifuatilia mawasilisho wakati wa mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu  ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”


Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Felisha akitoa ufafanuzi kuhusu huduma za kisheria kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,”

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post