PAUL KAGAME KUGOMBEA TENA URAIS RWANDA

Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameidhinishwa na chama kinachotawala Rwanda kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Julai 2024

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post