KAHAMA COLLEGE TUMEKUFIKIA!! JIUNGE NASI KOZI ZA UTABIBU, FAMASI, USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII!!

Karibu Chuo cha Sayansi za Afya Kahama (Kahama College of Heath Sciences) kilichopo Manispaa ya Kahama Mkoa wa Shinyanga! Tunatoa Kozi Nne ambazo ni Clinical Medicine / Utabibu, Pharmaceutical Sciences / Famasi, Social Work / Ustawi wa Jamii na Community Development / Maendeleo ya Jamii!! 

Wasiliana nasi 0759 342 962 au 0757 748 200

Chuo cha Sayansi za Afya Kahama (Kahama College of Heath Sciences) Mkoa wa Shinyanga kinatangaza nafasi za masomo Katika kozi za:

👉 Clinical Medicine / Utabibu

Vigezo ni D nne ikiwemo Physics,Chemistry na Biology. Ada yake ni 1,800,000/=

👉  Pharmaceutical Sciences / Famasi

Vigezo ni D nne ikiwemo Chemistry na Biology. Ada yake ni 1,800,000/=

👉  Social Work / Ustawi wa Jamii

Vigezo ni D nne za masomo yoyote isipokuwa masomo ya Dini. Ada yake ni 1,215,000/=

👉  Community Development / Maendeleo ya Jamii

Vigezo ni D nne za masomo yoyote isipokuwa masomo ya Dini. Ada yake ni 1,215,000/=

Ada zetu unalipa kwa awamu nne na huduma ya Hosteli ni Bure kwa mwaka wa kwanza wote.

Tembelea tovuti yetu: www.kachs.ac.tz

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0759 342 962 au 0757 748 200

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments