KARIBU NGAO SAFARIS NYUMBANI KWA MAAJABU YA AFRIKA!!

Je? unataka kukutana na maajabu ya Afrika!! Karibu katika Kampuni ya Utalii na Safari nchini Tanzania Maarufu Ngao Safaris 'Nyumbani kwa Maajabu ya Afrika'

Ngao Safaris ni Kampuni ya Utalii inayomilikiwa na kuongozwa na wajasiriamali wa Kitanzania ambao wamezaliwa na kukulia katika mazingira ya asili ya Tanzania tangu kuzaliwa kwao.


Ngao Safaris ni kampuni yenye dhima ya kuwaleta watu kutoka duniani kote kuja Tanzania ambako ni 'Nyumbani Kwa Maajabu ya Kiafrika,' .Watalii wote watakutana na kushuhudia vivutio vya ajabu na kutembelea maeneo ambayo yanawaacha wageni, watalii na kumbukumbu za kudumu na kufurahisha za maisha.


Tanzania ni makao ya fahari kwa Maajabu matatu kati ya saba ya Dunia: Maajabu ya Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar na Bonde la Ngorongoro ambalo ni bonde kubwa zaidi duniani.


Pia Tanzania inajivunia mbuga maarufu kama Serengeti, Tarangire, Manyara, Nyerere, Mikumi ,Gombe,Burigi,mapori tengefu ya Wanyama,maziwa makubwa kama Victoria,Tanganyika,Nyasa n.k

Ngao Safaris inakupeleka kote huko!!

Wasiliana nasi +255 769 362 953

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments