Picha : RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANANG... ATOA MAAGIZO JANGA LA MAFURUKORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Hanang kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023. Rais Samia alifika Katesh kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa maeneo hayo ambao wameathirika na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye akiwa pamoja na viongozi wengine wakati wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post