DKT. BITEKO AWASILI MKOANI GEITA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 5, 2023 amewasili mkoani Geita kwa ziara ya kikazi.

Mara baada ya kuwasili, Dkt. Biteko amepokelewa na Kamati ya ulinzi ya Mkoa wa Geita ikiongozwa na Mhe. Martine Shigella, Mkuu wa Mkoa huo na ujumbe wake.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post