STAND UNITED YAINYUKA PAMBA JIJI FC 1 - 0

Timu ya Stand United imeibuka  na ushindi katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji Fc katika mchezo wa ligi ya NBC Championship.

Mchezo huo uliopigwa leo Septemba 22,2023 katika uwanja wa CCM  Kambarage Mjini Shinyanga uliomalizika kwa Stand United kuibuka mshindi kwa goli 1 - 0 huku goli la ushindi kwa Stand United likifungwa na Emmanuel Mtambuka Dk '55' ya mchezo.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post