ALIY HASSAN KUTOKA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MASHINDANO YA DKT. SAMIA CUP SHINYANGA


Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyanga, Jackson Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

 Na Mwandishi wetu Malunde 1 Blog Shinyanga.

 Wakati Mashindano ya Dkt.Samia Cup yakiendelea kutimua vumbi katika viunga mbalimbali katika halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa lengo la kumtafuta bingwa atakayeibuka na zawadi mbalimbali katika mashindano hayo,mmoja wa wadau kutoka Zanzibar amefika mkoani Shinyanga na kutembelea Uwanja wa Jasco uliopo katika kata ya Ngokolo kwa ajili ya kutazama mashindano hayo.


 Pia amekabidhi zawadi ya vifaa vya michezo kwa mzee Jackson Kapufi ambaye ni mwalimu anayefundisha waamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu katika halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga .

Aliy Hassan ameipongeza kamati ya maandalizi ya ligi ya Dkt. Samia Cup kwa kuandaa ligi hiyo ambayo itasaidia kuibua vipaji vya vijana ndani ya Manispaa ya Shinyanga na Mkoa kwa ujumla.

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo Mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyanga, Jackson Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo Mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyanga, Jackson Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akikabidhi vifaa vya michezo katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga


Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo Mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyanga, Jackson Kapufikatika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo  Mkuruge nzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyanga, Jackson Kapufi  katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post