MERIDIANBET NA HALOPESA NI KUJICHUKULIA MAOKOTO TU

Kampuni ya michezo ya ubashiri wa mitandaoni Meridianbet leo imeingia kwenye ushirikiano na kampuni ya simu za mikononi bora nchini ya Halotel na kuanzisha kampeni maalumu itakayowafanya wateja wa Meridianbet na Halotel kunufaika na kushindia mikwanja na kampeni hiyo itafahamika kama “JICHUKULIE MAOKOTO NA HALOPESA”

 

“MERIDIANBET JICHUKILIE MAOKOTO NA HALOPESA” inawapa wateja wa Meridianbet njia isiyo na vikwazo, salama, na rahisi ya kuweka pesa kwenye akaunti zao za michezo kupitia Halopesa ambayo itawapatia zawadi kibao kabambe kipindi chote cha promosheni.

 

 Ushirikiano huu utaenda kuongeza tija kwa wapenzi wa michezo ya ubashiri kupitia Meridianbet mabingwa namba moja wa michezo ya kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka.

 

Unaposkia MERIDIANBET “JICHUKULIE MAOKOTO NA HALOPESA”  sio jambo la mchezo wala ubabaishaji kwani ukiweka hela ya ubashiri wake kupitia Halopesa unaweza kujishindia zawadi mbalimbai kama Pikipiki mpya, Smartphone za kijanja kabisa,mizunguko ya bure na zwadi nyingine kibao.

 

Tuna furaha kutangaza ujio wa promosheni hii mpya, inayoanza leo  Septemba 15 mpaka 15 Novemba 2023 kwa wateja wafanyao miamala ya simu kupitia Halopesa kwenda kwenye akaunti zao za Meridianbet ili waweze kubashiri soka na michezo ya kasino, wataweza kuingia kwenye droo na  kushinda pikipiki mpya, smartphone za kijanja , na zawadi nyingine kibao.

 

Meneja wa malipo kutoka Meridianbet Dora Kinyaiya alieleza furaha juu ya ushirikiano wao na na kampuni ya Halotel na kusema “Tunajitahidi kutoa uzoefu bora kabisa kwa wateja wetu wanaobashiri Meridianbet, na Tunafurahi kushirikiana na Halopesa kuzindua promosheni ya "Meridianbet jichukulie maokoto na Halopesa" ambayo inaanza leo tarehe 15 Septemba 2023 na itaendelea hadi tarehe 15 Novemba 2023, kwa kuwa inalingana kabisa na dhamira yetu ya kutoa huduma za ubashiri wa michezo yenye utulivu na salama kwa wateja wetu wa thamani. Ushirikiano huu unathibitisha hatua muhimu katika tasnia na unathibitisha dhamira yetu ya ubunifu na kuridhika kwa wateja."

 

 

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post