MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AMUOMBEA KURA BAHATI NDINGO KATA YA MAWINDI

Mbunge wa Viti Maalumu  Mkoa wa Rukwa  Bupe Mwakang'ata ameshiriki Kampeni ya kumuombea kura Mgombea wa Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mbarali  Bahati Ndingo katika kata ya Mawindi Mkoani Mbeya 

Akizungumza leo katika Kata hiyo Mhe. Bupe amewasii wananchi wa Kata ya Mawindi kutofanya makosa ifikapo tarehe 19/9/2023  kumpa kura nyingi Bahati Ndingo kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali .

“Mlifanya uamuzi mzuri wa kumpitisha Bahati  Ndingo kuwa Mgombea wa jimbo hili,sisi kama wabunge wanawake  tunaotoka katika Jumuiya ya UWT tumekuja hapa kuhakikisha Ndugu Bahati anashinda kwa kishindo kupitia chama chetu cha CCM”,amesema.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post