Watumishi wa Bunge wakutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab R. Telack pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena O. Jiri leo tarehe 02 Agosti 2023 ofisini kwao.
Pia walipata nafasi ya kuendelea kutoa elimu kwa umma kwa shule tatu, Mpilipili na Mlandege shule za Msingi pamoja na Mkonge Sekondari.
Ziara hii imeanza tarehe 31 Julai 2023 hadi tarehe 11 Agosti 2023