MERIDIANBET YATOA SAPOTI MAGEMBE CUP


Kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri Meridianbet leo imefanikiwa kutoa sapoti kwa kombe la Magembe litakalopigwa mkoani Tabora baada ya kugawa jezi na mipira mapema leo.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wanajitahidi kusapoti michezo na ndio sababu ya wao kujiunga leo katika michuano ya Magembe Cup na kutoa msaada wa jezi na mipira kwa timu ambazo zinashiriki michuano hiyo.

Msimu mpya wa ligi mbalimbali barani ulaya nao umerejea rasmi na Meridianbet wanakuambia “MSIMU MPYA MZIGO WAKUTOSHA” kwa maana ya kwamba usiache kubashiri na kampuni hiyo yenye ODDS KUBWA

Mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Ingram alizungumza wakati wanakabidhi vifaa hivyo vya michezo leo “Kampuni yetu kikawaida imekua ikitoa sapoti katika sekta mbalimbali lakini leo tumeamua kugusa sekta ya michezo kwakua sisi wenye ni wahusika wakubwa katika sekta hii na tumefurahi kua moja ya wadau waliotoa sapoti kwenye michuano hii”

Unafahamishwa kwa kipindi hiki ambacho ligi zimerejea na MZIGO UPO WAKUTOSHA” Meridianbet wanakuambia Jackpot ipo palepale kupitia simu za vitochi *149*10# kwa shilingi 1000 tu.

Mwakilishi wa michuano ya Magembe ambaye amepokea vifaa hivyo pia alipata wasaa wa kuzungumza na kuonesha kufurahishwa na kilichofanywa na Meridianbet "Nashukuru Sana Meridianbet Kwa Msaada Huu Mimi Kama Muwakilishi Wa Magembe Cup 2023 Naamini Msaada Huu Ni Chachu Ya Mafanikio Kwa Vijana Wengi Hasa Kwa Kupata Vifaa Vitakavyowasogeza Katika Mapambano Yao Binafsi Nawashukuru Sana Na Niwaombe Msituchoke Pale Tutakapowahitaji" Salvatory Nkindiko


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post