RAIS SAMIA : HAKUNA MWENYE MISULI YA KULIGAWA TAIFA

 


Samia: Hakuna mwenye misuli, mabavu kuligawa Taifa.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) pamoja na Waumini wa Kanisa hilo kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa hilo yaliyofanyika Makumira mkoani Arusha.

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limesifu hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kukaa kimya kuhusu sakata la bandari.


Rais Samia Suluhu Hassan amesema aliamua kukaa kimya kuhusu mijadala inayoendelea nchini, akisema hakuna mwenye misuli ya kuligawa Taifa.

Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 21 katika maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yaliyofanyika Makumira mkoani Arusha.

“Ndugu zangu na hasa Baba Askofu Shoo (Frederick) nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa Taifa letu.

Soma hapa zaidi chanzo Mwananchi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post