Kumekuchaa!! KAHAMA NIGHT WADAU SHUPAVU JOINT GALA NI SEPTEMBA 1, 2023


KAHAMA NIGHT WADAU SHUPAVU JOINT GALA | 1 SEPTEMBER 2023 | MILIGO HALL, 
๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ๐Ÿ“ฉ
............................................. 
✅Ni Hafla Endelevu Hufanyika Kwa Kila Mwaka Mara Moja na huu ni msimu wa Tatu toka kuanzishwa kwake Wilaya ya Kahama Ambalo  huwakutanisha Pamoja Wadau wote wa Maendeleo Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wenye viwango mbalimbali katika Jukwaa Moja. ๐Ÿ™

✅Kwa lengo la kutambua na kuthamini Juhudi na Mchango wa Wadau binafsi, vikundi, watumishi, wajasiriamali na wawekezaji waliofanya vizuri, wanaoendelea kufanya vizuri na wanaochipukia. 

✅Tamasha hili litaambatana na Kuwatunuku Tuzo Wadau Mbalimbali 30 wanaofanya Vizuri katika Sekta Mbalimbali kwa Tuzo za Heshima na tuzo za kushindaniwa. 

✅hafla hii Itafanyika Tarehe 01.9.2023. 
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Ukumbi wa Zakaria (Miligo Hall) Pembeni mwa Submarine hotel
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟkuanzia saa 12:00 Jioni Mpaka 6:00 Usiku 
๐Ÿ‘‰๐ŸฟKwa kusindikizwa na Burudani kutoka kwa wasanii Maarufu,Live Stand Up Comedy Show.
๐Ÿ‘‰๐ŸฟMuziki wa Bendi, vyakula pamoja na Vinywaji. 

✅Kwenye hafla tunatarajia kukusanya wadau mbalimbali zaidi ya 500+ kutoka ndani ya wilaya ya Kahama na nje ya Mkoa wa Shinyanga.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Kwa unyeyekevu Mkubwa naomba Nichukue Fursa hii kukualika katika Hafla hii Kubwa Yenye Fursa nyingi.

Lipia tiketi yako Kupitia Lipa Namba yetu pamoja na Nmb A/C No 

➡️KIINGILIO ๐Ÿ“Œ
.............................
๐Ÿ”„Mtu Mmoja 30,000
๐Ÿ”„VIP WATU 2 ; 50,000
๐Ÿ”„Meza ya watu (5); 300,000
๐Ÿ”„Meza ya Watu (10)500,000

✅Utapata
๐Ÿ‘‰Chakula cha jioni Kamili
๐Ÿ‘‰Burudani na Viburudisho.

Tiketi ni chache sana, Weka nafasi yako sasa.

Piga / WhatsApp - 0756254146 | 0622891972

#SisiNiHolySmile | Tumeama Kutambua na Kuthamini Juhudi za WadauShupavu ๐Ÿ’ช | Tutapumzika Uzeeni ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ ๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค

๐—ช๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ก๐—ถ #๐— ๐—ฑ๐—ฎ๐˜‚๐—ฆ๐—ต๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜ƒ๐˜‚

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post