MKURUGENZI MKUU WA TASAC ATOA ELIMU KWA UMMA MAONESHO YA SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Kaimu Abdi Mkeyenge akitoa akitoa elimu kwa Umma kwa wananchi mbalimbali walipotembelea Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Kaimu Abdi Mkeyenge akisikiliza swali lililokuwa linaulizwa na mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda hilo kwa ajili ya kupatiwa elimu kuhusu TASAC kwenye maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Kaimu Abdi Mkeyenge akizungumza na waandishi wa habari alipofika katika Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Kaimu Abdi Mkeyenge akiwa kwenye picha ya pamoja na timu ya Maonesho ya TASAC katika Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post