DC SAMIZI AWATAKA WATANZANIA KUWAENZI MASHUJAA KWA KULIPIGANIA TAIFA NA KUDUMISHA AMANI


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akipokea Silaha za Jadi ambazo zilitumika na Mashujaa katika kupigania uhuru wa nchi.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akiweka silaha za Jadi katika Mnara wa Mashujaa.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akipiga picha kwenye Mnara wa Mashujaa.

Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akipokea silaha za Jadi kwa ajili ya kuweka kwenye Mnara wa Mashujaa.
Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akienda kuweka silaha za Jadi kwenye Mnara wa Mashujaa.
Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akiweka Silaha za Jadi kwenye Mnara wa Makumbusho wa Mashujaa.
Chief Kidola Njange akiweka Silaha  za Jadi kwenye Mnara wa Makumbusho wa Mashujaa.
Silaha za Jadi zikiendelea kuwekwa kwenye Mnara wa Mashujaa.
Silaha za Jadi zikiendelea kuwekwa kwenye Mnara wa Mashujaa.
Viongozi wa Kamati ya Maridhiano Mkoa wa Shinyanga wakiweka Mashada kwenye Mnara wa Mshujaa.
Viongozi wa Kamati ya Maridhiano wakiwa kwenye Kumbukizi ya Mashujaa.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akiwa na viongozi mbalimbali kwenye kumbukizi ya Mashujaa.
Kumbukizi ya Mashujaa ikiendelea.
Kumbukizi ya Mashujaa ikiendelea.
Kumbukizi ya Mashujaa ikiendelea.
Kumbukizi ya Mashujaa ikiendelea.
Kumbukizi ya Mashujaa ikiendelea.
Picha za pamoja zikipigwa katika Mnara wa Mashujaa.
Picha za pamoja zikipigwa katika Mnara wa Mashujaa.
Picha za pamoja zikipigwa katika Mnara wa Mashujaa.
Picha za pamoja zikipigwa katika Mnara wa Mashujaa.
Mnara wa Mshujaa.

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

MKUU wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi, amewataka Watanzani kuwa enzi mashujaa kwa kulipigania Taifa pamoja na kudumisha Amani ya nchi.


Amebainisha hayo leo Julai 25, 2023 kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, ambayo Mkoani Shinyanga yamefanyika katika Mnara wa Mashujaa uliopo eneo la Makumbusho Mazingira Center.

Amesema Mashujaa walipigania Uhuru wa Taifa hili, tena wakitumia silaha za Jadi na kuwasihi Watanzia kuendelea kuwaenzi Mashujaa hao kwa kulipigania pia taifa pamoja na kudumisha Amani na utulivu.

“Nawaomba Watanzania tuendelee kulipigania Taifa letu ikiwamo kudumisha Amani na utulivu, pamoja na kulisemea vizuri taifa, sababu hakuna Mbadala wa Tanzania na historia hii ya mashujaa Ibaki vizazi na vizazi,”amesema Samizi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post