BIA PEKEE MKESHA WA MWENGE MJINI KAHAMA LEO NI HANSON'S LITE NA GOLDBERG TU...NJOO UONJE MZIGO MPYAA!!!


Mwenge wa Uhuru upo Mjini Kahama Mkoani Shinyanga leo Jumapili Julai 30,2023 !! Mkesha wa Mwenge leo ni hapa katika Kituo cha Uwekezaji Nyihogo Manispaa ya Kahama.

Tayari tumekusogezea zile Bia Mpya Goldberg na Hanson's Lite zinazotengenezwa na Kampuni ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga ambayo pia inazalisha vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice


Wasiliana nasi :
East African Spirit (T) Ltd
P.O.Box 707 Shinyanga, Tanzania
info@eastafricanspirits.com
+255767650806 | +255652096254Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments