PROF. NDALICHAKO ATEMBELEWA BUNGENI NA CHAWA WA MAMA KUTOKA KIGOMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa kwenye picha na wageni wake waliotembelea Bunge Juni 5, 2023 jijini Dodoma ambao ni Chawa wa Mama kutoka Kasulu mkoani Kigoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akifurahi pamoja na wageni wake waliotembelea Bunge Juni 5, 2023 jijini Dodoma ambao ni Chawa wa Mama kutoka Kasulu mkoani Kigoma.


Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ambao ni Chawa wa Mama kutoka Kasulu mkoani Kigoma wakiwa katika moja ya kumbi za wageni bungeni Juni 5, 2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa na wabunge wengine wa Mkoa wa Kigoma wakifurahi pamoja na wageni wake waliotembelea Bunge Juni 5, 2023 jijini Dodoma ambao ni Chawa wa Mama kutoka Kasulu mkoani humo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post