ABETI 500 NA KUSHINDA TSH 26M MERIDIANBET 

Alianza kiutani utani tu lakini mwisho wa siku amekuwa milionea kwa mtaji wa jero, Meridianbet ndio chimbo lililompa utajiri kijana huyo baada ya kubeti mechi 10 za soka ulaya.

 

Kubeti soka kupitia moja ya duka la ubashiri la meridianbet huko mtaani, hatimaye jamvi la mwamba limetiki na hivi sasa nadhani atakuwa anamwagilia moyo wake kwanza kabla hajaanza kuseti mipango yake ya maana.

 

Habari kubwa mjini ni huyu jamaa ambaye alikataa jina lake litajwe, amejishindia Tsh milioni 26,691,913/= kwa dau lake dogo sana la Tsh 500/=

 

Njia Hizi Zilimpa Ushindi

 

Mfalme huyu wa kubeti soka alitengeneza jamvi lake la timu 10 tu, ambapo kila moja alihakikisha anachagua odds kubwa na kwakuwa Meridianbet kuna machaguo 1000+ alikuwa na uwanda mpana wa kuchagua.

 

Baada ya kutandika jamvi lake lenye odds kubwa, kisha akaweka dau dogo tu la Tsh 500/= na kusubiri timu moja badala ya nyingine kuanza kutiki, na hatimaye zote 10 zikatika na kujihakikishia mamilioni ya hela Tsh 26,691,913/=

 

 

NB: Ligi nyingi zimeisha chimbo pekee la kusaka mkwanja ni kasino ya mtandaoni, jisajili meridianbet upate mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jiunge sasa.

 

 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post