JISHINDIE TZS 500,000/= UKICHEZA KASINO YA MTANDAONI


Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni shangwe kila kukicha, shiriki shindano la kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni iliyotengenezwa na Expanse Studio uwe moja ya washindi watakaojinyakulia TZS 500,000/=

 

 

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, Th Book of Eskimo, Wild icy fruits. Mayas Treasure, Wild White Whale, PIA na Planet Power.

 

Jinsi ya Kushiriki kwenye Shindano Hili

 

Kushiriki kwenye shindano hili la 5 unapaswa kucheza kasino ya mtandaoni, sloti za Expanse studio na kwa kuzingatia masharti yafuatayo:

 

•Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya meridianbet.co.tz

 

• Kipindi chote cha shindano, wachezaji watashindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

 

•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

 

• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:

 

       •1. Nafasi ya Kwanza       250,000 TZS

       •2. Nafasi ya Pili               200,000 TZS

       •3. Nafasi ya Tatu            150,000 TZS

       •4. Nafasi ya nne              100,000 TZS

       •5. Nafasi ya Tano            100,000 TZS

 

• Bonasi iliyotolewa ni lazima izungushwe mara 30 kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni ili iwekwe kwenye akaunti ya mteja kwaajili ya kutolewa. Ushindi wa juu ni 500,000TZS.

 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments