Picha & Video: RC MNDEME AONGOZA WANANCHI MAADHIMISHO MIAKA 59 YA MUUNGANO...MSANII MAARUFU NTEMI OMABALA 'Ng'wana Kang'wa' ANOGESHA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme ameongoza wananchi kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga yakiongozwa na kauli ‘Miaka 59 ya Muungano, Umoja na Mshikamano ndiyo nguzo ya kukuza uchumi wetu’.

Mndeme amewataka wananchi kuuenzi Muungano kwa kudumisha Amani, upendo na mshikamano huku akisisitiza kuwa ili kuwaenzi waasisi wa Muungano Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Rais wa kwanza wa Zanzibar, na Rais wa Tanganyika kwa wakati huo hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni kuendelea kudumisha Amani.

"Muungano wetu umetuletea undugu, uzalendo, Amani, mshikamano na utulivu, hivyo ni vyema tukaendelea kuuenzi kwa kudumisha amani, upendo na mshikamano", amesema Mndeme.

Amesema ndani ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mkoa wa Shinyanga umepiga hatua kubwa kimaendeleo ikiwamo Sekta ya Afya, Elimu, Maji, Nishati ya umeme pamoja na ujenzi wa miundombuni ya barabara.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwahutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.

Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' akitoa burudani wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme na viongozi mbalimbali wakicheza wakati Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' akitoa burudani kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Jumatano Aprili 26,2023 katika viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akimpa zawadi Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Donald Magesa akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Katibu Tawala wa wilaya ya Shinyanga Boniphace Chambi akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akisalimiana na viongozi alipowasili katika viwanja vya zimamoto kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiwa amesimama na viongozi alipowasili katika viwanja vya zimamoto kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Kiongozi wa dini akiomba kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Kiongozi wa dini akiomba kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Wananchi wakifuatilia matukio kwenye maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Kwaya ya Walimu Manispaa ya Shinyanga ikiendelea kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Vijana wa Sarakasi wakitoa burudani kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Burudani ya ngoma ya Ugoyangi ikiendelea kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Wacheza ngoma wakionesha Nyoka kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
MC Abedinego na Mc Ma confidence wakizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mshindi wa kwanza shindano la mbio za baiskeli
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mshindi wa pili shindano la mbio za baiskeli
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mshindi wa tatu shindano la mbio za baiskeli
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mshindi wa nne shindano la mbio za baiskeli
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mshindi wa tano shindano la mbio za baiskeli
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya msingi mshindi wa kwanza shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya msingi mshindi wa kwanza shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya msingi mshindi wa pili shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule la msingi mshindi wa tatu shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akipiga picha na wanafunzi wa shule za msingi walioshinda shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akipiga picha na wanafunzi wa shule za msingi walioshinda shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari mshindi wa kwanza shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari mshindi wa  pili shindano na uandishi wa Nsha
Mshindi wa tatu shindano na uandishi wa Nsha akifurahia na viongozi wa Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akipiga picha na wanafunzi wa shule za sekondari walioshinda shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akipiga picha na wanafunzi wa shule za sekondari walioshinda shindano na uandishi wa Nsha
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi mashabiki wa Yanga walioibuka washindi baada ya kuwashinda mashabiki wa Simba
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa zawadi kwa mwakilishi wa timu ya mpira wa kikapu.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

TAZAMA VIDEO
Ntemi Omabala akiiomba wimbo kuhusu Rais Samia

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme na viongozi mbalimbali wakicheza na Msanii Ntemi  Omabala

Vijana wa Sarakasi wakionesha makeke yao

Msanii Ntemi Omabala akiimba wimbo wa Tudange Live

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments