Video Mpya : JANDO Ft DADY P & DASHIEE - KUKUPENDA

Msanii Jando kutoka Shinyanga ameachia Video ya wimbo wake mpya inaitwa Kukupenda!! Katika video hii iliyotengenezwa na Director Malando Jando amemshirikisha msaniii Dady P na Dashiee... Tazama Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post