SIMBA SC YAONESHA UMWAMBA MTIBWA SUGAR, YAICHAPA 3-0KLABU ya Simba sc imefanikiwa kuondoka na alama tatu baada ya kuichakaza timu ya Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Manungu mkoani Morogoro.Katika mchezo huo tumeshuhudia Jean Baleke akifunga mabao hayo yote matatu Hat Trick na kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi huo mnono kwenye mechi hiyo.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

Post a Comment

Previous Post Next Post