Live : MATUKIO YANAYOENDELEA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ....MJADALA MASUALA YA UHAMIAJI , MAKUBALIANO YA ENEO HURU LA BIASHARA BARANI AFRIKA

Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP) unaendelea leo Jumatatu Novemba 7,2022 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. 

Kinachoendelea sasa Kuwasilisha na kujadili Ripoti kuhusu Makubaliano ya eneo huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA) pamoja na masuala mbalimbali ya Uhamiaji.

 Bunge la Afrika (PAP) linaendelea kufanyia kazi sheria ili kuimarisha ulinzi wa haki za wahamiaji wote ambapo Wabunge wanapendekeza kuwepo na Mkataba wa Biashara Huru, Sarafu moja na Pasipoti moja itakayowezesha Waafrika kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine bila bughudha yoyote

Rais wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament - PAP), Mhe. Chifu Fortune Charumbira akiongoza Mkutano wa Bunge la Afrika leo Jumatatu Novemba 7,2022. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Rais wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament - PAP), Mhe. Chifu Fortune Charumbira akiwa katika Mkutano wa Bunge la Afrika leo Jumatatu Novemba 7,2022. 
Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara, Fordha na Uhamiaji  Mhe. Sen. John Bonds Bideri akiwasilisha ripoti kuhusu Makubaliano ya Eneo huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA)

Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara, Fordha na Uhamiaji  Mhe. Sen. John Bonds Bideri akiwasilisha ripoti kuhusu Makubaliano ya Eneo huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA)

Mkurugenzi wa Biashara ya Bidhaa na Ushindani  kwenye Sekretarieti ya AfCFTA, Mohamed Ali akiwasilisha ripoti kuhusu Makubaliano ya Eneo huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post