ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUMEZA CHAJA YA SIMU


Mwanamke aliyekuwa na tatizo la ulaji nadra alikimbizwa kwenye katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kumeza chaja ya iPhone ya futi 3.

Mwanamke huyo ambaye jina lake lilibanwa aliokolewa na madaktri baada ya kisa hicho ambapo kifaa cha kuchajia kilikwama kwenye umio wake.

Mzawa huyo wa Kipolandi anayeugua ugonjwa wa nadra wa kula alipokea matibabu wakati chaja ya futi tatu ilipotolewa.

Kwa hofu, mwanamke huyo alipiga simu za huduma za dharura wakati alianza kukohoa nusra azimie aliposakamwa na kebo ya chaja ya iPhone.

Kulingana na Daily Mail, picha za eksirei ya mwanamke huyo zilionyesha kebo hiyo ndani ya mwili wake huku madaktari wakijitahidi kuyaokoa maisha yake.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post