BSL YATOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI JIJINI DODOMAMkurugenzi wa The BSL Investment Company Limited na BSL SCHOOLS amekabidhi ufadhili wa vifaa mbalimbali mbele ya afisa elimu msingi na sekondari jiji la DODOMA.

 Shule 10 zimenufaika 9 za msingi na 1 ya sekondari. Ametoa lita 120 za rangi, cement kg 500, mipira ya miguu 2, vitabu 117 na vifaa vinginevyo vya kielimu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments