TANESCO SHINYANGA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWAUNGANISHIA HUDUMA YA UMEME WANANCHI WALIOTUMA MAOMBI KUPITIA NI-KONEKT

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwaunganishia huduma ya umeme wateja wake walioomba huduma ya umeme kupitia mfumo wa NI-KONEKT.

TANESCO Shinyanga imetoa huduma hiyo Oktoba 5,2022 katika maeneo ya Ibadakuli,Kizumbi, Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post