MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI NYANDEKWA KAHAMA YAFANA


Jumla ya Wanafunzi 90 kati ya wavulana 39 na wasichana 51 wamehitimu elimu ya Kidato cha Nne mwaka 2022 katika shule ya Sekondari Nyandekwa wilayani Kahama Mkoa ni Shinyanga.

Akizungumza wakati wa mahafali Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyandekwa Melkisedeck Choya amesema Shule  hiyo ambayo ni ya kutwa na ya mchanganyiko, iliyoanzishwa mwaka 2007 ina jumla ya wanafunzi 429.

 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post