BONDIA MTANZANIA TWAHA KIDUKU ASHINDA UBINGWA UBO INTERCONTINENTALBONDIA Mtanzania Twaha Kiduku ameshinda ubingwa wa UBO Intercontinental baada ya kumtwanga mpinzani wake Abdo Khaled, raia wa Misri, katika pambano la raundi 10 lilifanyika mkoani Mtwara.


Twaha Kiduku ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu na kuendelea kuwa na mikanda yote miwili ya UBO waliokuwa wakiipigania.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post