RAIS SAMIA SULUHU ASHIRIKI MKUTANO WA 42 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC, KINSHASA NCHINI DRC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakiingia kwenye Ukumbi wa Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 42 wa SADC uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa katika nchi ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) tarehe 17 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Viongozi, Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) waliokutana kwenye Mkutano wa 42 wa Viongozi hao uliofanyika katika Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakiwa kwenye Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Ujumbe wake wakiwa kwenye Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika katika Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post