CHEGENI ATENGULIWA UKUU WA MKOA SIKU MOJA KABLA YA KUAPISHWA....SAMIA ATEUA RC MWINGINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Julai 31, 2022 amemteua Meja Jenerali Suleimani Mzee (Kulia pichani) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dkt. Raphael Chegeni (Kushoto Pichani) ambaye aliteuliwa Julai 28,2022 kuchukua nafasi ya Ally Hapi.

kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post