Askofu mpya Jimbo la Kahama, Christopher Ndizeye 
 ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo kutokana na askofu aliyekuwepo Askofu Ludovick Minde kuhamishwa na kupelekwa katika Jimbo la kanisa Katoliki Moshi mkoani Kilimanjaro.