MRAJIS MSAIDIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA SHINYANGA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA WACHIMBAJI MADINI KAHAMA

Mrajis Msaidizi wa Vyama vya ushirika Mkoa wa Shinyanga, Hilda Boniphace amekutana Viongozi wa vyama 12 vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama kwa ajili ya kujadili uendeshaji wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini na kusikiliza changamoto walizonazo wana ushirika wa wachimba madini.

Kikao hicho kimefanyika leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama ambapo wamejadili namna gani vyama vya Ushirika vya wachimbaji madini vinaweza kukua kutokana na fursa zilizopo na kuhakikisha wana ushirika wake wanafaidika na ushirika wao pamoja na kujaribu kutatua changamoto wanazokabiliana nazo kwa kushirikiana na mamlaka husika.
Mrajis Msaidizi wa Vyama vya ushirika Mkoa wa Shinyanga, Hilda Boniphace  akizungumza na Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mrajis Msaidizi wa Vyama vya ushirika Mkoa wa Shinyanga, Hilda Boniphace  akizungumza na Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama 

Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama wakiwa kwenye kikao na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga Bi. Hilda Boniphace

Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama wakiwa kwenye kikao na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga Bi. Hilda Boniphace.

Picha na Kadama Malunde  - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post