TCRA , BARAZA LA KISWAHILI LA TAIFA (BAKITA) KUFANYA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAON MEI 18- 19, 2022
Tuesday, May 17, 2022
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kamati ya maudhui kwa kushirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) wameandaa Mafunzo kwa wahariri ,wamiliki na waandaaji wa vipindi wa vituo vya utangazaji.
Social Plugin